Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Novemba uku. 16
  • Msaada wa Kuepuka Kuahirisha Mambo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msaada wa Kuepuka Kuahirisha Mambo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Uahirishaji—Mwizi wa Wakati
    Amkeni!—1995
  • Tumia Wakati Vizuri kwa Kuwa Huwezi Kuuhifadhi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Ninawezaje Kuacha Kuahirisha Mambo?
    Vijana Huuliza
  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—1995
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Novemba uku. 16
Picha: 1. Yehu akitiwa mafuta kwa kumiminiwa mafuta juu ya kichwa chake. 2. Yehu akiwa na silaha za vita, anaendesha gari lake kwa bidii.

MAISHA YA MKRISTO

Msaada wa Kuepuka Kuahirisha Mambo

Mtu mwenye tatizo la kuahirisha mambo ni yule anayeahirisha kufanya jambo ambalo anaweza au anapaswa kufanya mara moja. Yehu hakutenda kwa njia hiyo Yehova alipompa mgawo wa kuiangamiza nyumba ya Ahabu. (2Fa 9:6, 7, 16) Watu fulani husema: “Labda nitabatizwa baada ya miaka kadhaa.” “Hivi karibuni nitaanza kusoma Biblia kila siku.” “Nitaanza kufanya upainia mara tu ninapopata kazi nyingine nzuri.” Maandiko yanaweza kutusaidia tuepuke kuahirisha mambo yanayohusu ibada yetu.

Mistari ifuatayo inaweza kutuchocheaje kuepuka kuahirisha mambo?

  • Mhu 5:4

  • Mhu 11:4

  • 1Ko 7:29-31

  • Yak 4:13, 14

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki