Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Julai uku. 7
  • Je, Unaona Ni Kujishushia Heshima Kufanya Kazi za Mikono?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Unaona Ni Kujishushia Heshima Kufanya Kazi za Mikono?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Nehemia Alitaka Kuwahudumia Wengine, Si Kuhudumiwa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Mfuate Yehova kwa Moyo Wote
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Dumisha Shangwe Yako Licha ya Hali Zinazovunja Moyo
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Julai uku. 7
Waisraeli, wanaume kwa wanawake, wakijenga upya kuta za Yerusalemu kwa bidii.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Je, Unaona Ni Kujishushia Heshima Kufanya Kazi za Mikono?

Kuhani mkuu na ndugu zake hawakujiona kuwa watu wa maana sana hivi kwamba hawawezi kushiriki kazi ya kujenga upya kuta za Yerusalemu (Ne 3:1)

Baadhi ya wanaume walikataa “kujishusha” kusaidia kazi ya kurekebisha kuta (Ne 3:5; w06 2/1 10 ¶1)

Wanawake waliomwogopa Mungu walishiriki kwa hiari katika kazi hiyo ngumu (Ne 3:12; w19.10 23 ¶11)

Kazi nyingi ambazo lazima zifanywe kutanikoni zinatia ndani kazi ngumu au ambazo wengine huona kuwa ni za hali ya chini na huenda zisionekane na wengine.​—w04 8/1 18 ¶16.

JIULIZE, ‘Ninahisije kuhusu kufanya kazi kama hizo kwa ajili ya habari njema?’​—1Ko 9:23.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki