Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Septemba uku. 9
  • Jilinde Dhidi ya Habari za Uwongo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Jilinde Dhidi ya Habari za Uwongo
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Elifazi Anaonyesha Jinsi Ambavyo Hatupaswi Kuwafariji Wengine
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Kataa Mawazo Yasiyofaa!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • Ukamilifu wa Ayubu—Kwa Sababu Gani Unastaajabisha Sana?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • “Sitaukana Utimilifu Wangu!”
    Igeni Imani Yao
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Septemba uku. 9

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jilinde Dhidi ya Habari za Uwongo

Huenda watu wangefikiri mambo ambayo Elifazi alisema yalikuwa ya kweli kwa sababu alikuwa mwenye umri mkubwa na mwenye hekima (Ayu 4:1; it-1 713 ¶11)

Aliathiriwa na roho waovu hivyo akampa Ayubu ujumbe wenye kuvunja moyo (Ayu 4:​14-16; w05 9/15 26 ¶2)

Baadhi ya maneno ambayo Elifazi alisema yalikuwa kweli lakini aliyatumia katika muktadha uliokuwa na kasoro (Ayu 4:19; w10 2/15 19 ¶5-6)

Ndugu akitazama simu yake.

Ulimwengu wa Shetani unaendelea kusambaza habari hatari za uwongo.

JIULIZE, ‘Je, mimi hutumia wakati kuchanganua habari ninayopata?’—mrt 32 ¶13-17.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki