Isaya 23:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Tazama! Nchi ya Wakaldayo.+ Hawa ndio watu—haikuwa Ashuru+—Walimfanya kuwa mahali pa wale wanaokaa jangwani. Wamesimamisha minara yao ya kuzingira;Wameivua minara yake yenye ngome;+Na kumfanya awe magofu yanayoporomoka. Isaya Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 23:13 ip-1 252-253 Isaya Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 23:13 Unabii wa Isaya 1, kur. 252-253
13 Tazama! Nchi ya Wakaldayo.+ Hawa ndio watu—haikuwa Ashuru+—Walimfanya kuwa mahali pa wale wanaokaa jangwani. Wamesimamisha minara yao ya kuzingira;Wameivua minara yake yenye ngome;+Na kumfanya awe magofu yanayoporomoka.