-
Mathayo 12:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Yeye akawaambia: “Atakuwa ni nani huyo mtu miongoni mwenu aliye na kondoo mmoja na, ikiwa huyo aanguka ndani ya shimo siku ya sabato, hatamshika na kumwinua nje?
-