-
Mathayo 24:7Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
7 “Kwa maana taifa litainuka dhidi ya taifa na ufalme dhidi ya ufalme, na kutakuwa na upungufu wa chakula na matetemeko ya dunia mahali pamoja baada ya pengine.
-