-
Marko 15:43Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
43 kukaja Yosefu wa Arimathea, mshiriki mwenye kusifika wa Baraza, ambaye yeye mwenyewe pia alikuwa akiungojea ufalme wa Mungu. Akajipa moyo kuingia mbele ya Pilato na kuomba apewe mwili wa Yesu.
-