-
Luka 22:44Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
44 Lakini akiingia katika maumivu makali akaendelea kusali kwa bidii zaidi; na jasho lake likawa kama matone ya damu yakianguka kwenye ardhi.
-