-
Yohana 11:54Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
54 Kwa sababu hiyo Yesu hakutembea tena huku na huku hadharani miongoni mwa Wayahudi, bali aliondoka huko hadi kwenye nchi iliyo karibu na nyika, akaingia katika jiji liitwalo Efraimu, na humo akakaa pamoja na wanafunzi.
-