-
Matendo 15:29Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
29 kuendelea kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu na damu na kutokana na vitu vilivyonyongwa na uasherati. Mkijitunza wenyewe kwa uangalifu kutokana na mambo haya, mtafanikiwa. Afya njema kwenu!”
-