-
Waroma 5:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Pia, sivyo ilivyo kwa ile zawadi ya bure kama ilivyokuwa kwa njia ambayo mambo yalitendeka kupitia mtu mmoja aliyefanya dhambi. Kwa maana hukumu ilitokana na kosa moja katika hatia, lakini zawadi ilitokana na wingi wa makosa katika tangazo la uadilifu.
-