-
Waroma 12:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Iweni na nia ya jinsi ileile kuelekea wengine kama ilivyo kwenu wenyewe; msiwe mkiweka akili juu ya mambo yaliyoinuka, bali mwe mkiongozwa na mambo yaliyo ya hali ya chini. Msipate kuwa wenye busara machoni penu wenyewe.
-