-
Ufunuo 6:2Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
2 Nami nikaona, na, tazama! farasi mweupe; na yeye aketiye juu yake alikuwa na upinde; naye akapewa taji, naye akaenda akishinda na kukamilisha ushindi wake.
-