-
Ufunuo 11:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Na baada ya siku tatu na nusu roho ya uhai kutoka kwa Mungu ikawaingia, nao wakasimama kwa miguu yao, na hofu kubwa ikawaingia wale waliokuwa wakiwatazama.
-