-
Ufunuo 11:18Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
18 Lakini mataifa wakawa na hasira ya kisasi, na hasira ya kisasi yako mwenyewe ikaja, na wakati uliowekwa rasmi kwa ajili ya wafu kuhukumiwa, na kuwapa thawabu yao watumwa wako hao manabii na watakatifu na wale wanaohofu jina lako, wadogo na wakubwa, na kuwaleta kwenye uangamizi wale wanaoiangamiza dunia.”
-