-
Waroma 4:17Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
17 kama vile imeandikwa: “Nimekuweka wewe rasmi kuwa baba ya mataifa mengi.”) Hili lilikuwa mbele ya macho ya Yule ambaye katika yeye alikuwa na imani, naam, ya Mungu, afanyaye wafu kuwa hai na huita mambo yasiyokuwako kama kwamba yamekuwako.
-