-
1 Wakorintho 11:25Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
25 Akafanya hivyohivyo kwa habari ya kikombe pia, baada ya yeye kula mlo wa jioni, akisema: “Kikombe hiki chamaanisha agano jipya kwa msingi wa damu yangu. Fulizeni kufanya hili, mara nyingi kadiri mkinywavyo, katika ukumbuko wangu.”
-