-
Waefeso 2:11Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
11 Kwa hiyo fulizeni kuzingatia akilini kwamba hapo zamani nyinyi mlikuwa watu wa mataifa kwa habari ya mwili; “kutotahiriwa” ndivyo mlivyoitwa na kile kiitwacho “kutahiriwa” kifanywacho katika mwili kwa mikono —
-