-
1 Petro 2:9Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
9 Lakini nyinyi ni “jamii iliyochaguliwa, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu kwa ajili ya miliki ya pekee, kwamba mpate kutangaza kotekote sifa bora kabisa” za yeye aliyewaita nyinyi kutoka katika giza kuingia katika nuru yake ya ajabu.
-