-
Ufunuo 3:8Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
8 ‘Mimi navijua vitendo vyako—tazama! nimeweka mbele yako mlango uliofunguliwa, ambao hakuna yeyote awezaye kuufunga—kwamba una nguvu kidogo, na ulitunza neno langu na hukuthibitika kuwa asiye wa kweli kwa jina langu.
-