-
Ufunuo 13:16Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ya Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
-
-
16 Naye huwashurutisha watu wote, walio wadogo na wakubwa, na matajiri na maskini, na walio huru na watumwa, ili wawape alama katika mkono wao wa kuume au juu ya kipaji cha uso wao,
-