-
Je, Umejitayarisha kwa Ajili ya Siku Muhimu Zaidi Katika Mwaka?Mnara wa Mlinzi—2011 | Februari 1
-
-
Katika kurasa zinazofuata utaona chati itakayokusaidia kufanya hivyo. Safu ya kwanza kwenye chati hiyo inaonyesha tarehe za kalenda yetu zinazolingana na tarehe katika kalenda ya nyakati za Biblia. Safu ya pili ina habari fupi kuhusu mambo yaliyotukia katika tarehe hizo, nayo ya tatu inaonyesha mahali ambapo tunaweza kusoma kuhusu matukio hayo katika Vitabu vya Injili na katika kitabu Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi.c
Tunakutia moyo utenge wakati wa kusoma angalau sehemu fulani za Maandiko yanayoonyesha mambo yaliyotokea katika kila mojawapo ya siku hizo, hadi siku ya Mlo wa Jioni wa Bwana. Jambo hilo litakusaidia kujitayarisha kwa ajili ya siku muhimu zaidi katika mwaka.
-
-
Je, Umejitayarisha kwa Ajili ya Siku Muhimu Zaidi Katika Mwaka?Mnara wa Mlinzi—2011 | Februari 1
-
-
[Chati/Picha katika ukurasa wa 23, 24]
(Ona mpangilio kamili katika nakala iliyochapishwa)
JUMA LA MWISHO
2011 Jumanne, Aprili 12
▪ Sabato
NISANI 9 (yaanza baada ya jua kutua)
Katika nyakati za Biblia siku ilianza jioni, baada ya jua kutua, na ilimalizika siku iliyofuata, baada ya jua kutua
▪ Ashiriki mlo pamoja na Simoni mwenye ukoma
▪ Maria ampaka mafuta ya nardo
▪ Wayahudi wamtembelea Yesu na Lazaro
2011 Alhamisi, Aprili 13
▪ Aingia kwa shangwe ya ushindi jijini Yerusalemu
▪ Afundisha hekaluni
□ gt 102
NISANI 10 (yaanza baada ya jua kutua)
▪ Alala Bethania
2011 Alhamisi, Aprili 14
▪ Afunga safari mapema kwenda Yerusalemu
▪ Asafisha hekalu
▪ Yehova azungumza kutoka mbinguni
NISANI 11 (yaanza baada ya jua kutua)
2011 Ijumaa, Aprili 15
▪ Afundisha hekaluni, kwa kutumia mifano
▪ Awashutumu Mafarisayo
▪ Amwona mjane akitoa mchango
▪ Atabiri kuanguka kwa Yerusalemu
▪ Atoa ishara ya kuwapo kwake wakati ujao
NISANI 12 (yaanza baada ya jua kutua)
2011 Jumamosi. Aprili 16
▪ Siku yenye utulivu pamoja na wanafunzi wake huko Bethania
▪ Yuda apanga jinsi ya kumsaliti
NISANI 13 (yaanza baada ya jua kutua)
2011 Jumapili, Aprili 17
▪ Petro na Yohana wafanya matayarisho kwa ajili ya Pasaka
▪ Yesu na mitume wengine kumi wawafuata jioni
□ gt 112, fu. 5 hadi 113, fu. 1
NISANI 14 (yaanza baada ya jua kutua)
▪ Aadhimisha Pasaka
▪ Awaosha mitume mitume wake miguu
▪ Amtaka Yuda aondoke
▪ Aanzisha Ukumbusho wa kifo chake
□ gt 113, fu. 2 hadi mwisho wa sura ya 116
usiku wa manane
2011 Jumatatu, Aprili 18
▪ Asalitiwa na kukamatwa katika bustani Gethsemane
▪ Mitume wakimbia
▪ Ahukumiwa na makuhani wakuu na Sanhedrini
▪ Petro amkana Yesu
□ gt 117 hadi mwisho wa sura ya 120
▪ Asimama mbele ya Sanhedrini tena
▪ Apelekwa kwa Pilato, halafu kwa Herode, kisha arudishwa kwa Pilato
▪ Ahukumiwa kifo na kutundikwa
▪ Afa karibu saa tisa alasiri
▪ Mwili wake waondolewa na kuzikwa
NISANI 15 (yaanza baada ya jua kutua)
▪ Sabato
2011 Jumanne, Aprili 19
▪ Pilato akubali walinzi wawekwe kwenye kaburi la Yesu
NISANI 16 (yaanza baada ya jua kutua)
2011 Jumatano, Aprili 20
▪ Afufuliwa
▪ Awatokea wanafunzi
□ gt 127, fu. 10 hadi 129, fu. 10
[Maelezo ya Chini]
d Herufi “gt” zinarejelea kitabu Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi. Ili kupata chati iliyo na Maandiko mengi zaidi kuhusu siku za mwisho za huduma ya Yesu, ona ukurasa wa 290 wa kitabu “Kila Andiko Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa,” vilivyochapishwa na Mashahidi wa Yehova.
-