Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Machi uku. 2
  • “Yeyote Anayetaka Kuwa Mkubwa Kati Yenu Lazima Awe Mhudumu Wenu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Yeyote Anayetaka Kuwa Mkubwa Kati Yenu Lazima Awe Mhudumu Wenu”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Kusitawisha Maoni ya Kristo Kuhusu Umashuhuri
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Yesu Aliwapenda Watu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Mwalimu, Ufundishaji
    Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Waliendelea Kutangaza Neno la Mungu kwa Ujasiri
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Machi uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 20-21

“Yeyote Anayetaka Kuwa Mkubwa Kati Yenu Lazima Awe Mhudumu Wenu”

20:28

Farisayo akiwa sokoni

Waandishi na Mafarisayo wenye kiburi walipenda kutambuliwa na kusalimiwa na watu sokoni

Waandishi na Mafarisayo wenye majivuno walitaka kuwapendeza wanadamu na walitamani kutukuzwa. (Mt 23:5-7) Yesu alikuwa tofauti. ‘Mwana wa binadamu alikuja, si kuhudumiwa, bali kuhudumu.’ (Mt 20:28) Je, katika ibada yetu tunajihusisha tu na mambo ambayo yatatufanya tutambuliwe na kusifiwa na wengine? Ikiwa tunataka kuwa wakuu machoni pa Yehova, tutajitahidi kuwa kama Yesu kwa kufanya yote tuwezayo kuwahudumia wengine. Mara nyingi kazi kama hizo hufanywa bila kuonekana na wengine—zinatambuliwa tu na Yehova. (Mt 6:1-4) Mhudumu mnyenyekevu . . .

  • atashiriki kusafisha na kudumisha Jumba la Ufalme

  • atachukua hatua ya kwanza kuwasaidia watu wenye umri mkubwa na watu wengine

  • anatoa michango ili kutegemeza masilahi ya Ufalme

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki