Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Julai uku. 2
  • Wapimie Wengine kwa Ukarimu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wapimie Wengine kwa Ukarimu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Watu Wanaotoa kwa Ukarimu Ni Watu Wenye Furaha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Mahubiri ya Mlimani—“Msihukumu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Wonyesho wa Shukrani
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Michango Inayoufurahisha Moyo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Julai uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | LUKA 6-7

Wapimie Wengine kwa Ukarimu

6:38

Mtu mkarimu hufurahia kutumia wakati, nguvu, na mali zake ili kuwasaidia na kuwatia moyo wengine.

  • Mtu katika nyakati za Biblia akiwa amebeba nafaka katika mkunjo wa vazi lake

    Kitenzi cha Kigiriki kilichotafsiriwa “muwe na mazoea ya kuwapa watu” kinaonyesha tendo linaloendelea

  • Tunapokuwa na mazoea ya kuwapa watu, wengine watatumwagia “kwenye mfuko wa nguo [zetu] kipimo kizuri, kilichoshindiliwa, kilichotikiswa, na kufurika.” Huenda maneno hayo yakarejelea zoea la wafanyabiashara fulani la kujaza bidhaa zilizonunuliwa kwenye mkunjo wa nguo ya nje

Ndugu kijana akimsaidia ndugu mwenye umri mkubwa kubeba bidhaa

Orodhesha pindi ambazo unaweza kutumia ushauri huo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki