HAGAI YALIYOMO 1 Wakemewa kwa kutojenga hekalu (1-11) ‘Je, ni wakati wa kukaa katika nyumba zilizopambwa kwa mbao?’ (4) “Kazieni mioyo yenu juu ya njia zenu” (5) Kupanda kwa wingi kuvuna kidogo (6) Watu wasikiliza sauti ya Yehova (12-15) 2 Hekalu la pili kujaa utukufu (1-9) Kutikiswa kwa mataifa yote (7) Kukusanywa kwa vitu vyenye thamani vya mataifa (7) Kujenga upya hekalu kwaleta baraka (10-19) Utakatifu hauwezi kupitishwa kwa mwingine (10-14) Ujumbe kwa Zerubabeli (20-23) “Nitakufanya kuwa kama pete ya muhuri” (23)