KRONOLOJIA (Tarehe za Matukio)
(Ona pia Kalenda; Siku 1,260; Siku 1,290; Siku 1,335; Tarehe; Tarehe Zinazohusu Unabii; Wakati, Nyakati, na Nusu Wakati)
makadirio yanayotegemea elimu ya nyota: w11 10/1 31; w11 11/1 24-25, 27-28
bamba la udongo la VAT 4956: w11 11/1 25-28
orodha ya Tolemi (Ptolemy): w11 10/1 29-31
tarehe za K.W.K. na W.K.: g97 5/22 29
kinachofanya Mashahidi wapendelee K.W.K. na W.K. badala ya K.K. na A.D.: g 3/09 30
tarehe za matukio ya Milki ya Babiloni:
mabamba kuhusu shughuli za biashara: w11 11/1 23-24, 28
Milki Mpya ya Babiloni: w11 10/1 29-31; w11 11/1 28
tarehe za matukio ya Wamaya: g01 9/8 16-17
Uajemi:
Artashasta Longimano: dp 197
wanahistoria wa kale (Wagiriki na Waroma): w11 10/1 29
Maandiko ya Kiebrania
chati:
kuanzia Gharika mpaka amri ya Koreshi: w03 5/15 6-7
wafalme wa Yuda na wa Israeli: w05 8/1 12
Ezekieli alala kwa upande wa kulia kwa siku 40 ili kuigiza kuzingirwa kwa Yerusalemu: w07 7/1 12
kifo cha Abrahamu kutoka: g 5/12 16-17
kipindi cha miaka 430 (Kut 12:40, 41; Ga 3:17): g05 3/22 30; w04 3/15 26
kipindi cha ukiwa cha miaka 70: w11 10/1 26-28; w11 11/1 22-25, 27; w11 12/15 31
“kizazi cha nne” kutoka Abrahamu (Mwa 15:16): g 5/12 16
kuanzia kuumbwa kwa Adamu hadi—
Daudi: w05 10/1 8-11
miaka 400 ya mateso (Mwa 15:13): w04 1/15 27; w98 9/15 12-13
muda ambao Waisraeli walikaa Misri: g05 3/22 30; w04 3/15 26
mwaka wa 20 wa Artashasta: w06 2/1 8-9; dp 197
mwaka wa 480 (1Fa 6:1): g 5/12 17
umri wa wazee wa ukoo: g 7/07 30; g 5/06 8; rs 396-397; w03 5/15 5; w02 3/1 5-6
utumishi wa Yeremia: jr 19
Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo
Yesu Kristo:
alipozaliwa: w99 11/1 4-5; g98 3/22 28-29
juma la mwisho duniani: w11 2/1 22-24; w98 3/15 3-9
kifo na ufufuo wa Yesu (chati): w99 3/15 7
Tarehe za Matukio ya Biblia
jinsi ya kujua tarehe mbalimbali: rs 395
maandiko yaeleweka wazi zaidi (1935-1944): jv 632-633
“majuma 70” (Da 9:24-27): w12 1/1 16; g 7/12 24; w11 8/15 8-9; g 2/11 18; w06 2/15 6; bh 197-199; dp 186-197; w98 9/15 13-14
majuma 70 yalipoanza: dp 187-190
mwaka hususa wa uharibifu wa Yerusalemu haukutabiriwa: w98 9/15 14-15
maoni ya Wanafunzi wa Biblia: jv 135-136, 630-637
matarajio:
1878: jv 631-633
1881: jv 632
1914: yb07 75-76; jv 60-63, 134-140, 634-637
1915: jv 632
2000: w99 11/1 3-6; g98 5/8 20-21
“nyakati zilizowekwa za mataifa” na “nyakati saba” (Lu 21:24; Da 4): w06 7/15 6-7; re 22, 24; bh 215-218; w04 2/1 19-20; rs 397-399; dp 95-97
Wanafunzi wa Biblia wa kwanza wakosea kuhusu mwanzo wa nyakati zilizowekwa za mataifa: re 105
tarehe ambazo Biblia na historia ya ulimwengu zinakubali: rs 395
539 K.W.K.: w11 10/1 28
tarehe si jambo kuu katika kutambua utimizo wa unabii: w98 9/15 14-16