MAPAPA
(Ona pia Kanisa Katoliki; Pontifex Maximus [Askofu Mkuu]; Vatikani)
dai la kwamba mapapa ni warithi wa mitume: w11 8/1 24-26; rs 360-367
mfuatano wa mapapa si kamili: rs 364
maelezo kuhusu Umoja wa Mataifa: re 243; rs 366; w97 5/1 15
mapapa waliunga mkono Ushirika wa Mataifa: re 242
mwanzo katika Kanisa Katoliki: w11 8/1 25
upotovu: re 208
Vita Vitakatifu (Krusedi): g97 10/8 13
ziara za mapapa zafanywa kuwa biashara: g 8/07 29; g03 5/22 29
Mapapa Mbalimbali
Aleksanda wa Sita (Rodrigo Borgia): w03 6/15 26-29
Benedikto wa Tisa: re 208
Benedikto wa 14:
akubali Biblia katika lugha za kienyeji (1757): w05 12/15 16; g03 9/8 22
Benedikto wa 16 (Joseph Ratzinger):
asadiki kwamba nadharia ya mageuzi ni ya kweli: g 5/08 30
asifu desturi ya Wayahudi ya kukataa kutumia jina la Mungu (2007): w08 7/1 30
atoa hotuba huko Auschwitz (2006): w07 5/15 32
barua ya “Caritas in Veritate”: g 5/10 30
viungo vyake haviwezi kutolewa ili kupandikizwa mtu mwingine: g 12/11 28
Damasusi:
amwomba Jerome asahihishe tafsiri ya Kilatini ya Vitabu vya Injili (382 W.K.): w09 4/1 20
Formoso: re 208
Gregori wa Kwanza (Mkuu):
atoa agizo Kanisa Katoliki likubali mazoea na desturi za kipagani: w99 3/15 25
Gregori wa Saba:
apinga kutafsiriwa kwa Biblia: g 12/11 6-7; w97 8/15 11
Gregori wa Tisa:
amri dhidi ya wazushi: w02 10/15 5
Innocent wa Tatu:
akataza usomaji wa Biblia: g 12/11 6-8
John Paul wa Pili:
aomba msamaha kwa dhambi za nyakati zilizopita: w98 3/1 3-7
asema kanisa halipaswi kulaumiwa kuhusiana na vita nchini Rwanda: g97 2/8 28
asema kwamba Maria alikuwa wa kwanza kumwona Kristo aliyefufuliwa: g98 1/8 29; g98 11/8 30
asema kwamba Mungu hataharibu ulimwengu: w98 2/15 32
asema kwamba Wakristo wanapaswa kutoa ushahidi: g99 2/22 3
asifu Umoja wa Mataifa: re 243; w97 5/1 15
atembelea Israeli (2000): w99 11/1 3
atembelea Kuba (1998): g98 8/22 28
atembelea Umoja wa Mataifa (1995): g96 7/8 22-25
aunga mkono tena nadharia ya mageuzi: g97 5/8 28; g97 5/22 28
awahimiza watu waisome Biblia: g98 10/8 17
dini nyingi zamuunga mkono katika maombi ya amani huko Assisi, Italia (2002): g02 10/22 4-8
maelezo yake kuhusu ukosefu wa haki: w03 10/1 4
maoni mapya kuhusu motoni (moto wa mateso): w02 7/15 3; g00 3/8 29
papa adai kwamba Maria alikufa kifo cha kawaida: w98 8/1 31
papa awahimiza wafuasi wahubiri nyumba kwa nyumba: w96 12/1 32
rozari yaongezewa duru ya nne (2002): g03 6/8 29
“Siku ya Ulimwengu ya Sala kwa Ajili ya Amani” (1986): re 249-251
Klementi wa Nane:
achapisha chapa mpya ya Vulgate ya Kilatini inayoitwa chapa ya Sixtus ya Klementi (1592): w09 4/1 22
awaruhusu Wakatoliki kunywa kahawa: g 3/06 20
Leo wa 13:
apinga Biblia za lugha za kienyeji na Biblia zisizokubaliwa na Kanisa Katoliki: g97 12/8 18
Lucius wa Tatu:
aanzisha Baraza la Kuhukumu Wazushi: g97 5/8 18
Paulo wa Tatu:
aanzisha Baraza la Kuwahukumu Wazushi (Milki ya Roma): g98 12/8 12-13; g97 5/8 18-19
Paulo wa Nne:
azuia watu wasiwe na Biblia katika lugha za kawaida: g 12/11 7
Index of Forbidden Books (Orodha ya Vitabu Vilivyokatazwa) (1559): w05 12/15 15; g03 9/8 21
Paulo wa Sita:
Umoja wa Mataifa ndilo tumaini la mwisho la upatano na amani (manukuu): re 243; rs 366; w97 5/1 15
Piusi wa Tisa:
atangazwa kuwa mtakatifu na Papa Yohana Paulo wa Pili: g01 3/22 28
Sergio wa Tatu: re 208
Sixtus wa Nne:
aanzisha Baraza la Kuhukumu Wazushi la Hispania: g97 5/8 18
Sixtus wa Tano:
amaliza usahihishaji wa Vulgate ya Kilatini (1590): w09 4/1 21-22
Stefano wa Sita: re 208
Stefano wa Saba: re 208
Urban wa Pili:
Vita Vitakatifu vya Kwanza: g97 10/8 13
Yohana wa Kumi na Mmoja: re 208
Yohana wa 12: re 208