MADAKTARI
(Ona pia Halmashauri za Uhusiano na Hospitali; Hospitali; Madaktari wa Magonjwa ya Akili; Matibabu [Tiba]; Upasuaji [Tiba]; Wahudumu wa Hali za Dharura)
inapofaa kumwona daktari: g 3/11 5; g98 7/8 6-7
kiapo cha Hipokrati: g04 4/22 20-22
kutia damu mishipani:
daktari atambua kwamba Mashahidi pekee ndio wanaofuata Biblia: yb08 223
daktari Mkristo aliye na mamlaka ya kutia au kuagiza mgonjwa atiwe damu mishipani: w99 4/15 29
idadi ya madaktari walio tayari kuwatibu Mashahidi bila ya kutumia damu: yb08 223; g00 1/8 3; g98 12/8 19
kumweleza daktari maoni ya Biblia: lv 217; w04 6/15 31; w00 6/15 30
madaktari wanakiri kuna madhara ya kutia damu mishipani: g 8/06 6-7
madaktari waona manufaa ya msimamo wa Mashahidi: g 9/07 30; w01 6/1 20-21
maelezo kuhusu matibabu yasiyohusisha damu: w01 6/1 20-21; g00 1/8 7, 10
maelezo ya mtaalamu mkuu wa damu (Urusi): yb08 222-223
maelezo ya mtaalamu wa mfumo wa mkojo: g99 8/22 31
mkutano pamoja na wataalamu wa kitiba kuhusu matibabu yasiyohusisha damu (Urusi, 1998): yb08 222; g99 4/22 26-27
wataalamu wakusanyika ili kujadiliana kuhusu matibabu yasiyohusisha damu (1995, Marekani): w96 8/15 32
kutoa mimba:
daktari Mkristo: w99 4/15 29
kuuliza maoni ya daktari mwingine: g00 10/22 28
kuwasaidia wagonjwa kukumbuka maelezo: g04 2/22 29
kuwatembelea wagonjwa nyumbani: g05 1/22 3-4
Luka:
maoni yake kuhusu uponyaji wa kimuujiza: g05 1/22 8-10
maelezo: g05 1/22 3-8
maelezo ya madaktari kuhusu—
usafi: w08 12/1 11
makala za Amkeni! zathaminiwa—
mfumo wa kinga: g01 10/22 30
mambo yaliyoonwa: w06 10/15 8-9
daktari: g05 1/22 10-11
daktari ahudhuria kusanyiko pamoja na wafanyakazi wenzake 16: yb09 60-61
daktari ahudhuria mkutano wa kutaniko wakati wa funzo la broshua Damu: w98 4/15 26-27
daktari aomba kitabu Vijana Huuliza: g02 1/22 32
daktari atafuta kusudi lenye maana maishani: w07 10/1 16, 20
daktari avutiwa na matokeo ya upasuaji uliofanywa bila damu: w03 5/1 13
daktari katika mji maskini wa mbali: g05 1/22 7
daktari na familia yake: g03 12/22 25
daktari na mke wake Mhindu wateketeza sanamu: yb04 63
kliniki ya shule: w03 10/1 8
maelezo kuhusu manufaa ya kujifunza Biblia: w04 2/1 6
Mashahidi walio madaktari: g05 1/22 7, 10-11
mtaalamu wa damu apendekeza mgonjwa asome kitabu Biblia Inafundisha: yb07 14
mwanafunzi ajifunza kweli huku akisomea udaktari: w00 3/15 31
ndugu amweleza daktari kuhusu suala la kutia damu mishipani: w11 10/15 22
masimulizi ya maisha:
Ingawa Nilikuwa Kipofu, Niliweza Kuona!: w04 5/1 23-27
Jitihada Yangu ya Kufanya Uchaguzi Wenye Hekima: g00 8/22 12-15
Kitu Chenye Thamani Kuliko Kazi: g 6/11 12-15
Nilikubali Maoni ya Mungu Kuhusu Damu: g04 9/22 30; g03 12/8 12-15
mfadhaiko (mkazo): g05 1/22 5-8; g04 5/22 29
sifa za kuwastahilisha watu kuitwa “matabibu”: g96 11/8 28
uhusiano pamoja na madaktari:
kuelewa hali ya daktari: g05 1/22 3-8; g05 11/8 30
ushirikiano: g05 1/22 6
uhusiano pamoja na wagonjwa: g05 1/22 3-8
madaktari hawawasiliani waziwazi: g02 6/22 29
mtazamo kuwahusu wagonjwa: w04 5/1 26-27
uchovu unaosababishwa na kuwahurumia watu: g05 1/22 6-7; g05 11/8 30
upasuaji unaoweza kufanywa bila kutia damu mishipani: rs 45-46
urafiki wa madaktari unawasaidia wagonjwa kupona: g02 1/22 28
zoea sugu (uraibu) la kutumia dawa za kulevya: g98 9/8 28