Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • dx96-12
  • Maria (Mama ya Yesu)

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maria (Mama ya Yesu)
  • Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
  • Vichwa vidogo
  • Desturi ya Kumwabudu Maria
Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012
dx96-12

MARIA (Mama ya Yesu)

(Kuna kichwa kidogo: Desturi ya Kumwabudu Maria)

abeba mimba ya Yesu:

ulinzi wa roho takatifu: w02 3/15 19; cl 71-72

akimbilia Misri: w09 1/1 5

alikuwa pamoja na mitume Yerusalemu (Mdo 1:14): bt 18

amtembelea Elisabeti: w08 7/1 16-17

Maria amsifu Mungu: w09 11/15 10-11; w08 7/1 16; w03 12/15 7

apata mimba kimuujiza: bh 42; rs 182; lr 32-33; w02 3/15 19; g99 8/8 30; ct 145-146

kama yai la uzazi la Maria lilihusika: w08 3/15 30

kilichofanya Maria apewe pendeleo la kumzaa Yesu: w11 12/15 22-23

asafiri kwenda Yerusalemu pamoja na familia yake: w09 1/1 6

Yesu alipokuwa na miaka 12: w09 1/1 6-7

bikira kabla ya kumzaa Yesu: rs 182

Gabrieli amtembelea: w09 1/1 3; bm 19; w08 7/1 14-16; my 84

hali yake ya kiroho: w11 1/15 16; w09 1/1 6-7; w03 12/15 6-7; w02 12/15 6

jukumu lake mbinguni: w09 1/1 10

kifo: w98 8/1 31

kifo cha Yesu:

kilichofanya watoto wa Maria wasikabidhiwe daraka la kumtunza: cf 167

kilivyomwathiri Maria: w09 1/1 8-9

Yohana akabidhiwa daraka la kumtunza Maria: cf 165, 167; cl 291-292; ct 161

kifo cha Yosefu: w12 4/1 27; w09 1/1 7

kuzaliwa kwa Yesu: w09 1/1 4; w08 10/1 22-25; my 85; lr 33-35

Maria atoa dhabihu ya ndege hekaluni baadaye: w09 1/1 5; w08 10/1 25; w03 12/15 4-5; w00 2/15 12

uchungu wa kuzaa wa Maria: w08 10/1 23

maelezo: w09 1/1 3-10; w08 7/1 14-17; rs 181-187; g96 5/8 20-22

maoni ya Yesu kumhusu: w09 1/1 9; rs 186; w00 9/15 11

“nina nini nawe, mwanamke?” (Yoh 2:4): w08 4/15 31; w06 12/1 30-31; w00 9/15 11

mwanafunzi wa Yesu: w09 1/1 7

unabii wa Simeoni kumhusu: w03 12/15 6-7

watoto: w10 4/1 13; w09 1/1 5-6; rs 182-183; w03 12/15 3; lr 222; g96 5/8 20-22

maelezo ya msomi wa dini wa Kanisa Katoliki: w03 12/15 3

watu wa ukoo (jamaa):

labda Salome alikuwa dada yake: w08 12/1 5

Yesu hakurithi kutokamilika: w08 7/1 15; w02 3/15 19; g99 8/8 30

Yosefu alitaka kumtaliki Maria: w09 1/1 3-4; w09 12/1 16; w08 7/1 17

Desturi ya Kumwabudu Maria

baraza la Pili la Vatikani: rs 185-186

“bikira sikuzote”: w10 4/1 13; w09 1/1 6; rs 182-183; w03 12/15 3; w97 10/15 31

Bikira wa Guadalupe: g 3/08 22-23; w02 11/15 3

chanzo cha kipagani: rs 186-187

chanzo katika Kanisa Katoliki: w09 11/1 8; rs 184-185

desturi ya kusali kwa Maria: w09 1/1 9-10; g 7/06 30; g05 9/8 26-27; rs 185

fundisho kuhusu Mkingiwa Dhambi ya Asili: rs 184

papa adai Maria alikufa kifo cha kawaida ijapokuwa inasemekana alikingiwa dhambi: w98 8/1 31

toleo la dhambi la Maria linathibitisha kwamba hakukingiwa dhambi: w09 1/1 5

fundisho la kuchukuliwa mbinguni kwa Maria (kupazwa): rs 184-185

kama alikuwa wa kwanza kumwona Yesu aliyefufuliwa: g98 1/8 29; g98 11/8 30

maelezo: w09 1/1 9-10; rs 182-187

“malkia wa mbinguni”: w09 1/1 10

“mama ya Mungu”: w09 11/1 8; w04 12/15 28; rs 183-184; g96 1/8 26-27

mambo yaliyoonwa:

polisi wauliza maswali kumhusu “Bikira Maria”: jv 487

maoni ya Biblia: rs 182-186

Maria “atokea”:

umbo latokea kwenye ukuta wa kituo cha magari-moshi (Mexico): g98 3/22 29

sanamu za Maria: rs 185-186

“miujiza” inayohusisha sanamu za Maria: g98 3/8 31

Wakristo wa mapema hawakumsujudia: rs 186

Yesu hakumwabudu: w09 1/1 9; rs 186

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki