UGAIDI
(Ona pia Jeuri [Ukatili]; Woga; nchi hususa)
Ashuru: w10 2/15 19
gharama: g01 5/22 10
jitihada za kuukomesha: w03 6/1 13
polisi wanazoezwa: g02 7/8 11
jitihada za wanadamu za kuukomesha zimeshindwa: g01 5/22 11-12
kadiri ambavyo umeenea: g 6/11 3-4; g 6/06 4; g01 5/22 7
mabadiliko katika ujenzi kwa sababu ya ugaidi: g02 9/22 29
maelezo: g 6/11 3-9; g 6/06 3-9; g01 5/22 3-4, 6-12
magaidi wanaotumia kompyuta: g01 5/22 6, 8-9
magaidi washambulia magari-moshi (India) (2006): g 6/07 22-23
majengo ya World Trade Centre (Marekani) yashambuliwa (2001): g03 1/22 29; g02 1/8 3-8, 10-12; g02 6/8 28; g02 8/22 30; g02 9/8 3, 6
matumizi ya damu na pesa zilizochangwa: g02 8/22 28
visa vya ulaghai baadaye: g03 1/22 28
Wamasai wachanga ng’ombe kuwasaidia waliookoka: g03 7/8 28
watoto walivyoathiriwa: g03 6/22 12
mambo yaliyoonwa:
baada ya mashambulio huko Marekani (2001): w02 1/1 16-18
magaidi wakubali kweli: w12 8/1 13-14; g 6/11 4-9; w10 9/1 8-9; g 6/06 9; w98 7/1 5-6; w98 8/1 5-6; w96 1/1 5-6
mwanafunzi Shahidi aandika kuhusu jinsi utakavyokomeshwa: g04 9/8 12-13
watoto wapiganaji wa kuvizia: g01 8/8 9-10
mambo yanayochangia: g 6/11 5-6; g01 5/22 11
dini: g 6/11 5-6
mashambulio kwenye vituo vya gari-moshi (Hispania) (2004): g04 11/8 13-15
mtazamo wa Mashahidi: w03 6/1 12-17
ramani:
miaka ya 1990: g01 5/22 4
silaha za kemikali: g01 5/22 9
silaha zenye viini hatari: g01 5/22 9-10
suluhisho: g01 5/22 12
udhuru ambao magaidi wanatoa: w10 9/1 4; g01 5/22 7, 10-11
ufafanuzi: g 6/11 4; g 6/06 4; g01 5/22 6
ugaidi umeshindwa: g 6/06 7
ugaidi utakomeshwa: g 6/06 7-9
vifaa vinavyotumiwa kutengeneza silaha za nyuklia: g 7/09 30; g04 3/8 7; g01 5/22 10; g99 8/22 8
watoto wanashambuliwa: g 6/06 3
watu wanachunguzwa zaidi: g03 1/22 6