Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w14 12/15 uku. 32
  • Fahirisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 2014

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fahirisi ya Habari za Mnara wa Mlinzi 2014
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
w14 12/15 uku. 32

Fahirisi ya Habari Za Mnara wa Mlinzi 2014

Inaonyesha tarehe ya toleo ambamo makala inapatikana

BIBLIA

  • Hispania ya Enzi za Kati, 3/1

  • Iliandikwaje? 2/1

  • Je, Luka Alikuwa Sahihi Kihistoria? 1/1

  • Kweli Ni Neno la Mungu? 2/1

  • Peshitta ya Kisiria, 9/1

BIBLIA INABADILI MAISHA

  • Ahadi ya Paradiso Ilibadili Maisha Yangu! (I. Vigulis), 2/1

  • Niliishi Maisha ya Ubinafsi (C. Bauer), 10/1

  • Nilipambana na Jeuri na Ukosefu wa Haki (A. Touma), 8/1

  • Nilitembea na Bunduki Kila Wakati (A. Lugarà), 7/1

  • Walitumia Biblia Kujibu Maswali Yote (I. Lamela), 4/1

  • Yehova Hakuwa Amenisahau (S. Udías), 1/1

MAISHA NA SIFA ZA KIKRISTO

  • ‘Chakula Changu Ni Kufanya Mapenzi ya Mungu’ 5/15

  • Ibada ya Familia, 3/15

  • Je, Ni Vibaya Kubadili Uamuzi Wako? 12/15

  • Je, ‘Unajitahidi Kufikia’ Mapendeleo? 9/15

  • Kupata ‘Chakula kwa Wakati Unaofaa,’ 8/15

  • Kupinga Kishawishi, 4/1

  • Kuwasaidia Waamini Wenzako Waliotalikiana, 6/15

  • Kwa Nini Unapaswa Kusali? 4/1

  • “Lainisha Mapito” Ili Ufanye Maendeleo, 6/15

  • “‘Ndiyo’ na pia ‘Siyo’”? 3/15

  • Nia ya Kutoa, 12/15

  • ‘Rudi na Uwatie Nguvu Ndugu Zako,’ 8/15

  • Watu wa Ukoo Wasio Waamini, 3/15

MAKALA ZA FUNZO

  • Adui wa Mwisho, Kifo, Aangamizwa, 9/15

  • “Endeleeni Kukaza Akili Zenu juu ya Mambo Yaliyo Juu” 10/15

  • Hakuna Anayeweza Kuwatumikia Mabwana Wawili, 4/15

  • Iga Imani ya Musa, 4/15

  • Je, ‘Unafahamu Maana’? 12/15

  • Je, Una Maoni Kama ya Yehova Kuhusu Udhaifu wa Kibinadamu? 6/15

  • Je, Unamwona ‘Yule Asiyeonekana’? 4/15

  • Je, Unasadiki Kwamba Una Kweli? Kwa Nini? 9/15

  • Je, Unasonga Mbele Pamoja na Tengenezo la Yehova? 5/15

  • Je, Unathamini Kwamba Yehova Anatuchunguza kwa Sababu Anatujali?4/15

  • Je, Unathamini Mambo Ambayo Umepokea? 12/15

  • Jinsi ya Kudumisha Maoni Yanayofaa, 3/15

  • Jinsi ya Kudumisha Roho ya Kujidhabihu, 3/15

  • Jinsi Yehova Anavyotukaribia, 8/15

  • Kufanya Kazi kwa Umoja Tunapokaribia Mwisho wa Ulimwengu Huu, 12/15

  • Kufanya Maamuzi ya Hekima Ukiwa Kijana, 1/15

  • Kumtumikia Yehova Kabla Siku Zenye Msiba Hazijaja, 1/15

  • Kuwatunza Waliozeeka, 3/15

  • Kwa Nini Ni Lazima Tuwe Watakatifu? 11/15

  • “Lazima Umpende Yehova Mungu Wako,” 6/15

  • Miaka 100 ya Utawala wa Ufalme—Inakuhusuje? 1/15

  • “Mpende Jirani Yako Kama Wewe Mwenyewe,” 6/15

  • Msifuni Kristo—Mfalme Mtukufu! 2/15

  • “Mtakuwa Mashahidi Wangu,” 7/15

  • Mtakuwa “Ufalme wa Makuhani,” 10/15

  • Mtumikie Mungu kwa Ushikamanifu Licha ya “Dhiki Nyingi,” 9/15

  • Mwabudu Yehova, Mfalme wa Umilele, 1/15

  • Ni Lazima Tuwe Watakatifu Katika Mwenendo Wetu Wote, 11/15

  • “Ninyi Ni Mashahidi Wangu,” 7/15

  • “Sasa Ninyi Ni Watu wa Mungu,” 11/15

  • Shangilieni kwa Sababu ya Ndoa ya Mwana-Kondoo! 2/15

  • Sikia Sauti ya Yehova Popote Ulipo, 8/15

  • ‘Sikiliza, Upate Maana,’ 12/15

  • Thamini Pendeleo Lako la Kufanya Kazi na Yehova! 10/15

  • Tumia Ile Kanuni Bora Katika Huduma Yako, 5/15

  • Tumia Neno la Mungu—Liko Hai! 8/15

  • Tunapaswa “Kumjibu Kila Mtu” Jinsi Gani? 5/15

  • “Ufalme Wako na Uje”—Lakini Utakuja Lini? 1/15

  • Ufufuo wa Yesu—Kwa Nini Ni Muhimu Kwetu? 11/15

  • Uwe Hodari—Yehova Ni Msaidizi Wako! 4/15

  • Uwe na Imani Isiyotikisika Katika Ufalme, 10/15

  • Waheshimuni Ndugu na Dada Waliozeeka, 3/15

  • Wakumbuke Watumishi wa Wakati Wote, 9/15

  • Wanawake Wanatimiza Sehemu Gani Katika Kusudi la Yehova? 8/15

  • Wasaidie Wengine Kufanya Yote Wawezayo, 6/15

  • “Watu Ambao Mungu Wao Ni Yehova,” 11/15

  • Watu wa Yehova ‘Hukataa Ukosefu wa Uadilifu,’ 7/15

  • Wazazi—Wachungeni Watoto Wenu, 9/15

  • “Yehova Anawajua Walio Wake,” 7/15

  • Yehova Ni Mungu Mwenye Utaratibu, 5/15

  • Yehova Ni Mwandalizi na Mlinzi Wetu, 2/15

  • Yehova Ni Rafiki Yetu Mkubwa Zaidi, 2/15

MAMBO MENGINE

  • Alikabiliana na Upanga wa Majonzi (Maria), 5/1

  • Alivumilia Licha ya Ukosefu wa Haki (Eliya), 2/1

  • Dini ya Kweli, 8/1

  • Je, Inawezekana Kujua Wakati Ujao? 5/1

  • Je, Kifo Ni Mwisho wa Mambo Yote? 1/1

  • Je, Sheria ya Mungu kwa Waisraeli Ilikuwa ya Haki? 9/1

  • Je, Shetani Ni Kiumbe Halisi? 11/1

  • Je, Wanadamu Wataiharibu Dunia Kabisa? 9/1

  • Krismasi, 12/1

  • Kuhifadhi Samaki Zamani, 7/1

  • Kurarua Mavazi, 4/15

  • Kusudi la Dunia, 6/1

  • Kwa Nini Mambo Mabaya Huwapata Watu Wazuri? 7/1

  • Kwa Nini Tusali? Tusali Jinsi Gani? 7/1

  • Kwa Nini Tusali Ufalme wa Mungu Uje? 10/1

  • Kwa Nini Wahalifu Walivunjwa Miguu Kabla ya Kuuawa? 5/1

  • Mababu Wana Tumaini Gani? 6/1

  • Mafundi wa Meli Zamani Walifanyaje Ili Vyombo Visiingie Maji? 7/1

  • Makombeo Katika Vita Zamani, 5/1

  • Malaika, 9/1

  • Maoni ya Mungu Kuhusu Kuvuta Sigara, 6/1

  • Matoleo ya Hekaluni, 2/1

  • Michango ya Hekalu, 1/1

  • Mjane wa Sarefathi, 2/15

  • Mkate wa Uzima, 6/1

  • Ni Nani Anayeutawala Ulimwengu? 5/1

  • Nikope Pesa? 12/1

  • “Ninawezaje Kufanya Ubaya Huu?” (Yosefu), 11/1

  • Rangi ya Zambarau, 4/1

  • “Sikilizeni Ndoto Hii” (Yosefu), 8/1

  • Thomas Emlyn (msomi), 4/1

  • Timgad—Jiji Lililoangamia, 12/1

  • Tumaini la Wafu, 1/1

  • Udi, 2/1

  • ‘Ufahamu Hupunguza Hasira,’ 12/1

  • Ufalme wa Mungu Ulianza Kutawala Lini? 10/1, 11/1

  • Ufalme wa Mungu—Una Umuhimu Gani Kwako? 10/1

  • Unawezaje Kuwatia Nidhamu Watoto? 7/1

  • Ushirikiano Kati ya Dini, 3/1

  • Vita Vilivyoubadili Ulimwengu (Vita vya Kwanza vya Ulimwengu), 2/1

  • Watu Watatu Waliotafuta Ukweli Karne ya 16, 6/1

  • Watumwa wa Roma, 4/1

MASHAHIDI WA YEHOVA

  • ‘Aliijua Njia’ (G. Pierce), 12/15

  • Eureka Drama, 8/15

  • “Kazi Zaidi ya Mavuno” (Brazili), 5/15

  • Kweli Yaangaza Katika Nchi ya Macheo ya Jua (Japani), 11/15

  • Sinema ya Pekee Iliyochochea Imani Miaka 100 Iliyopita (Photo-Drama), 2/15

  • Uamuzi Niliofanya Utotoni, 1/15

  • Walijitoa kwa Hiari Afrika Magharibi, 1/15

  • Walijitoa kwa Hiari Nchini Micronesia, 7/15

  • Walijitoa kwa Hiari Nchini Taiwan, 10/15

  • Wanamwamini Yesu? 5/1

MASIMULIZI YA MAISHA

  • Mambo Niliyotimiza Katika Utumishi wa Wakati Wote (R. Wallen), 4/15

  • Matukio Muhimu Katika Maisha Yangu Nikiwa Mhubiri wa Ufalme (M. Olson), 10/15

  • Nilimpoteza Baba, Nikapata Baba (G. Lösch), 7/15

  • Nimepata Thawabu Nyingi Katika Kumtumikia Mungu (P. Carrbello), 9/1

  • Nina Nguvu Ingawa Mimi Ni Dhaifu (M. Morlans), 3/1

  • Yehova Amenisaidia (K. Little), 5/15

MASWALI KUTOKA KWA WASOMAJI

  • Desturi ya kuchoma maiti inafaa? 6/15

  • Ni nani wale mashahidi wawili? (Ufu 11:3-12), 11/15

  • Raheli anawalilia wanawe? (Yer 31:15), 12/15

  • Watakaofufuliwa duniani ‘hawataoa wala kuolewa’? (Lu 20:34-36), 8/15

  • Wayahudi walikuwa ‘wakimtarajia’ Masihi? (Lu 3:15), 2/15

  • Wazee na watumishi wa huduma huwekwaje rasmi? 11/15

  • Yehova hataruhusu Mkristo kukosa chakula? (Zb 37:25; Mt 6:33), 9/15

YEHOVA

  • Anavyohisi Kuhusu Ukosefu wa Haki, 1/1

  • Huwabariki Sana Wenye Nia ya Kutoa, 12/15

  • Je, Anakujali? 8/1

  • Kwa Nini Anaruhusu Watu Wateseke? 1/1

  • Kwa Nini Anawaruhusu Wenye Nguvu Wawakandamize Wanyonge? 2/1

  • Mungu Amekufanyia Nini? 3/1

  • Ni Nani Aliyemuumba Mungu? 8/1

  • Unaweza Kumkaribia Mungu, 12/1

  • Unaweza Kumwona Mungu Asiyeonekana? 7/1

  • Utu Wake, 1/1

  • “Uzuri wa Yehova” (Zb 27:4), 2/15

  • Watoto Wanawezaje Kujifunza Kumpenda Mungu? 12/1

YESU KRISTO

  • Aliwafufua Wafu? Kwa Nini? 11/1

  • Anafanya Nini Sasa? 4/1

  • Atafanya Nini Wakati Ujao? 4/1

  • Tukio Ambalo Hupaswi Kukosa (Ukumbusho), 3/1

  • Tunafaidikaje Kutokana na Kifo cha Yesu? 3/1

  • Tunapaswa Kukumbukaje Kifo cha Yesu? 3/1

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki