Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 28:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Nao mshipi,+ ulio juu yake ili kufunga kwa kuikaza, kulingana na ufundi wake, utakuwa wa vifaa vyake, wa dhahabu, uzi wa bluu na sufu iliyotiwa rangi ya zambarau na kitambaa chenye rangi nyekundu ya kochinili na kitani bora kilichosokotwa.

  • Kutoka 39:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Halafu wakafanya pete mbili za dhahabu na kuziweka juu ya vile vipande viwili vya begani vya efodi upande wake wa chini, sehemu yake ya mbele, karibu na mahali pake pa kuungania, juu ya ule mshipi wa efodi.+

  • Mambo ya Walawi 8:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Baada ya hayo akamvika kanzu+ na kumfunga ukumbuu+ na kumvika lile koti lisilo na mikono+ na kumvika efodi+ na kumfunga kwa mshipi+ wa ile efodi na kuufunga imara kwa mshipi huo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki