Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 15:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “‘Na ikiwa mwanamke ana mtiririko unaotoka, nao mtiririko wake unaotoka katika mwili wake uwe ni damu,+ ataendelea kwa siku saba kuwa katika uchafu+ wake wa hedhi,+ na yeyote atakayemgusa atakuwa asiye safi mpaka jioni.

  • Mambo ya Walawi 15:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Na ikiwa mwanamume atalala naye na uchafu wake wa hedhi uwe juu yake,+ ndipo atakuwa asiye safi kwa siku saba, na kitanda chochote ambacho mwanamume huyo huenda akalalia kitakuwa si safi.

  • Mambo ya Walawi 20:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “‘Na mwanamume akilala na mwanamke mwenye hedhi na kuufunua uchi wake, ameifunua chemchemi yake, naye mwanamke huyo ameifichua chemchemi ya damu yake.+ Kwa hiyo wote wawili watakatiliwa mbali kutoka katikati ya watu wao.

  • Ezekieli 22:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Wameufunua uchi wa baba ndani yako;+ wamemfedhehesha mwanamke asiye safi katika hedhi yake ndani yako.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki