-
Yoshua 19:49Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
49 Hivyo wakamaliza kuigawanya nchi kuwa miliki kulingana na maeneo yake. Kisha wana wa Israeli wakampa urithi Yoshua mwana wa Nuni katikati yao.
-