Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Methali 15:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Yeyote aliye mpumbavu hudharau nidhamu ya baba yake,+ lakini mtu yeyote anayejali karipio ni mwerevu.+

  • Methali 19:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Yeye anayemtendea vibaya baba yake na ambaye humfukuza mama yake+ ni mwana anayetenda kwa aibu na bila heshima.+

  • Methali 30:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Jicho ambalo humdhihaki baba na kudharau utii kwa mama+—kunguru wa bondeni wataling’oa na wana wa tai watalila.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki