Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 2:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Basi watu hao wakawafuatilia kuelekea upande wa Yordani vivukoni,+ nao wakalifunga lango mara moja baada ya wale waliowafuatilia kuondoka.

  • Waamuzi 3:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Ndipo akawaambia: “Nifuateni,+ kwa maana Yehova amewatia adui zenu, Wamoabu, mkononi mwenu.”+ Nao wakamfuata, wakateka vivuko+ vya Yordani juu ya Wamoabu, wala hawakumruhusu mtu yeyote avuke.

  • Waamuzi 7:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Na Gideoni akatuma wajumbe katika eneo lote lenye milima la Efraimu,+ akisema: “Shukeni mkutane na Midiani na mshike hayo maji mbele yao mpaka Beth-bara na Yordani.” Basi watu wote wa Efraimu wakakusanywa pamoja, nao wakayashika maji+ mpaka Beth-bara na Yordani.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki