Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ruthu 2:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Boazi akamwambia walipokuwa wakila: “Karibia hapa, ule baadhi ya mikate+ na kuchovya kipande chako katika siki.” Basi akaketi kando ya wavunaji. Boazi alikuwa akimpatia nafaka zilizochomwa+ ale. Akala, akatosheka, na tena akabakiza.

  • 1 Samweli 17:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Ndipo Yese akamwambia Daudi mwana wake: “Tafadhali, wapelekee ndugu zako hii efa ya nafaka iliyochomwa+ na hii mikate kumi, uwapelekee ndugu zako haraka kambini.

  • 2 Samweli 17:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 wakaleta vitanda na beseni na vyombo vya mfinyanzi, na ngano na shayiri na unga+ na nafaka iliyochomwa+ na maharagwe mapana+ na dengu+ na nafaka iliyokauka;

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki