Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 16:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 Mwishowe Abishai mwana wa Seruya+ akamwambia mfalme: “Kwa nini huyu mbwa mfu+ amlaani bwana wangu mfalme?+ Tafadhali acha nivuke, niende nikiondoe kichwa chake.”+

  • 2 Samweli 18:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Na mfalme akaendelea kuwaamuru Yoabu na Abishai na Itai, akisema: “Mtendeeni yule kijana Absalomu kwa upole+ kwa ajili yangu.” Na watu wote wakasikia mfalme alipowaamuru wale wakuu wote kuhusiana na jambo la Absalomu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki