Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 14:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Basi Yonathani akamwambia yule mtumishi, mchukua-silaha wake: “Haya njoo, na tuvuke, twende kwenye kituo cha mbele cha wanaume hawa wasiotahiriwa.+ Labda Yehova atatenda kwa ajili yetu, kwa maana hakuna kizuizi chochote kwa Yehova kuokoa kwamba ni kwa wengi au ni kwa wachache.”+

  • 1 Samweli 17:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Basi Daudi, akiwa na kombeo na jiwe, akawa mwenye nguvu zaidi kuliko yule Mfilisti, akampiga Mfilisti na kumuua; na hakuna upanga uliokuwa mkononi mwa Daudi.+

  • Zaburi 33:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Hakuna mfalme anayeokolewa kwa wingi wa majeshi yake;+

      Mtu mwenye nguvu haokolewi kwa wingi wa nguvu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki