Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yoshua 7:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Nao wakaweka rundo kubwa la mawe juu yake, mpaka leo hii.+ Ndipo Yehova akaiacha hasira yake inayowaka.+ Ndiyo sababu jina la mahali hapo limeitwa Nchi Tambarare ya Chini ya Akori,+ mpaka leo hii.

  • 2 Samweli 24:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Na Daudi akamjengea Yehova madhabahu+ hapo na kutoa dhabihu za kuteketezwa na dhabihu za ushirika, na Yehova akakubali kusihiwa+ kwa ajili ya nchi, hivi kwamba ile tauni ikakomeshwa juu ya Israeli.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki