Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 14:50
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 50 Na jina la mke wa Sauli lilikuwa Ahinoamu binti ya Ahimaazi, na jina la mkuu wa jeshi lake lilikuwa Abneri+ mwana wa Neri, ndugu ya baba ya Sauli.

  • 2 Samweli 2:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Lakini Abneri+ mwana wa Neri mkuu wa jeshi lililokuwa la Sauli, alimchukua Ish-boshethi,+ mwana wa Sauli, akamvusha mpaka Mahanaimu,+

  • 2 Samweli 3:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Papo hapo Abneri akatuma wajumbe kwa Daudi, akisema: “Je, nchi hii ni ya nani?” na kuongezea: “Fanya agano lako pamoja nami, na tazama! mkono wangu utakuwa pamoja nawe ili kuwageuza Israeli wote wawe upande wako.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki