Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 20:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Naye akamwambia mtumishi wake: “Tafadhali kimbia, tafuta ile mishale ninayopiga.”+ Mtumishi akakimbia, naye akapiga mshale ili umpite, uende mbele yake.

  • 1 Samweli 31:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na pigano likawa kali juu ya Sauli, na mwishowe wapiga-mishale, wapiga-upinde, wakampata, na hao wapiga-mishale wakamuumiza vibaya.+

  • 2 Samweli 1:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kutoka kwa damu ya waliouawa, kutoka kwa mafuta ya wenye uwezo,

      Upinde wa Yonathani haukugeuka nyuma,+

      Na upanga wa Sauli haukurudi bila mafanikio.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki