-
2 Samweli 13:39Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
39 Mwishowe nafsi ya Daudi, mfalme, ikatamani kwenda kwa Absalomu; kwa maana alikuwa amejifariji kumhusu Amnoni, kwa sababu alikuwa amekufa.
-
-
2 Samweli 19:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Basi wokovu wa siku ile ukawa pindi ya watu wote kuomboleza, kwa sababu watu walisikia ikisemwa siku hiyo: “Mfalme ameona uchungu kwa sababu ya mwana wake.”
-