Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Hesabu 35:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 “‘Mlipiza-kisasi+ cha damu ndiye atakayemuua huyo muuaji wa kukusudia. Hapo atakapokutana naye atamuua.

  • Hesabu 35:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 naye mlipiza-kisasi+ cha damu amkute nje ya mpaka wa lile jiji la makimbilio, na yule mlipiza-kisasi cha damu amuue yule muuaji asiyekusudia, yeye hana hatia ya damu.

  • Kumbukumbu la Torati 19:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Kama sivyo mlipiza-kisasi+ cha damu, kwa sababu moyo wake una moto, anaweza kumfuatilia muuaji, amfikie, kwa kuwa njia ni ndefu; naye anaweza kuipiga nafsi yake na kuiua, ingawa hakuna hukumu ya kifo+ kwa ajili yake, kwa sababu hakuwa akimchukia hapo kwanza.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki