Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Mambo ya Nyakati 26:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Huyu Shelomothi na ndugu zake walikuwa juu ya hazina zote za vitu vilivyofanywa kuwa vitakatifu,+ ambavyo Daudi+ mfalme na walio vichwa vya nyumba za ukoo wa upande wa baba,+ na wakuu wa maelfu na wa mamia, na wakuu wa jeshi walikuwa wamevifanya kuwa vitakatifu.

  • 2 Mambo ya Nyakati 15:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Naye akaanza kuviingiza ndani ya nyumba ya Mungu wa kweli vitu ambavyo baba yake alivifanya kuwa vitakatifu na vitu+ ambavyo yeye mwenyewe alivifanya kuwa vitakatifu, fedha na dhahabu na vyombo.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki