Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 22:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Naye mfalme wa Siria alikuwa amewaamuru wale wakuu 32+ wa magari yake, akisema: “Msipigane na mdogo wala na mkuu, ila na mfalme wa Israeli peke yake.”+

  • 1 Wafalme 22:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Na pigano likazidi kuwa kali siku hiyo, na ikawa lazima kumweka mfalme akiwa amesimama katika gari akiwaelekea Wasiria, na mwishowe akafa+ jioni; na damu ya lile jeraha ikaendelea kumwagika upande wa ndani wa lile gari la vita.+

  • 2 Mambo ya Nyakati 18:33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Na palikuwa na mtu aliyepinda upinde bila kujua, lakini akampiga+ mfalme wa Israeli katikati ya viungio na vazi la chuma, naye akamwambia mwendesha-gari:+ “Geuza mkono wako, uniondoe katika kambi, kwa sababu nimeumizwa vibaya.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki