Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Wafalme 15:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Mwishowe Asa akalala pamoja na mababu zake,+ naye akazikwa pamoja na mababu zake katika Jiji la Daudi babu yake;+ na Yehoshafati+ mwana wake akaanza kutawala mahali pake.

  • 2 Mambo ya Nyakati 18:3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 3 Na Ahabu mfalme wa Israeli akamwambia Yehoshafati mfalme wa Yuda: “Je, utaenda pamoja nami kule Ramothi-gileadi?”+ Ndipo akamwambia: “Mimi ni sawa na wewe, na watu wangu ni kama watu wako na tu pamoja nawe katika vita.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki