23 Na watu wote wa nchi wakalia kwa sauti kubwa,+ na watu wote wakavuka, na mfalme alikuwa amesimama kando ya bonde la mto la Kidroni,+ na watu wote wakavuka kwenye barabara pana inayoelekea nyikani.
6 Tena akauondoa mti mtakatifu+ katika nyumba ya Yehova mpaka nje ya Yerusalemu, kwenye bonde la mto la Kidroni, akauteketeza+ kwa moto katika bonde la mto la Kidroni na kuusaga ukawa mavumbi, akayatupa mavumbi yake juu ya makaburi+ ya wana wa watu.
18Akiisha kusema mambo hayo, Yesu akaenda pamoja na wanafunzi wake ng’ambo ya mto wa majira ya baridi kali wa Kidroni+ mpaka mahali palipokuwa na bustani, na yeye na wanafunzi wake wakaingia ndani yake.+