-
2 Samweli 18:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Sasa mlinzi akaona mtu mwingine akiwa anakimbia. Kwa hiyo mlinzi akamwita mtunza-lango na kusema: “Tazama! Mtu mwingine anakimbia akiwa peke yake!” naye mfalme akasema: “Huyo pia ni mleta-habari.”
-