Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 7:17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Na mfalme alikuwa amemweka yule amiri msaidizi ambaye alikuwa amejiegemeza+ juu ya mkono wake asimamie njia ya lango; na watu wakaendelea kumkanyaga+ katika njia ya lango, hata akafa, kama alivyokuwa amesema yule mtu wa Mungu wa kweli,+ aliposema wakati mfalme aliposhuka kumjia.

  • 2 Wafalme 9:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Sasa akamwambia Bidkari amiri msaidizi wake:+ “Mwinue; mtupe katika ile sehemu ya shamba la Nabothi, Myezreeli;+ kwa maana kumbuka: Mimi na wewe tulikuwa tukiendesha makundi ya magari ya farasi nyuma ya Ahabu baba yake, na Yehova akatangaza+ hivi juu yake:

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki